YouVersion Logo
Search Icon

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaSample

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

DAY 3 OF 12

Yesu Amponya Mwenye Kupooza

Yesu asamehe dhambi za mlemavu na kumponya. Waalimu wa sheria wanazua shaka kwa uwezo wa Yesu kusamehea dhambi.

Swali 1: Nani kati ya jamaa na marafiki unahitaji kuwaleta kwa Yesu ndiposa wapokee uponyaji na wasamehewe?

Swali 2: Elezea kuhusu wakati ambapo ulijihisi umesamehewa na Yesu na je, wakati huo ulikuwaje?

Swali 3: Je Yesu anawahikikishiaje wengine kwamba ako na mamlaka ya kuokoa dhambi na kuponya wenye maumivu?

Scripture