YouVersion Logo
Search Icon

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaSample

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

DAY 2 OF 12

Yesu Amtakasa Mwenye Ukoma

Mwanaume mwenye ukoma aomba Yesu amponye, na Yesu amponya.

Swali 1: Tunawezaje wafikia kiwa kama vila Yesu aliwafikia kuwaletea uponyaji?

Swali 2: Ikiwa unaweza kuangalia wakati ambapo ulijihisi kuwa mwenye haya ama mtu asiyetakikana, ungelihitaji nini ili kukurejesha?

Swali 3: Je, kanisa linaweza kufanya nini ili kuoko watu wanaoteseka?

Scripture