YouVersion Logo
Search Icon

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaSample

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

DAY 7 OF 12

Vipofu wawili na bubu waponywa

Yesu awaponya vipofu wawili, lakini awaambia wasiambie yeyote kuhusi kilichotendeka. Alufu Yesu akaponya bubu.

Swali 1: Ni sehemu gani maishani mwako unahitaji kuweka imani yako kwa Yesu kamili?

Swali 2: Mkristo bado anaweza kuwa kipofu na kiziwi kwa njia zipi?

Swali 3: Ni kwa nini unadhani watu wengine wanashangazwa na Yesu ilhali wengine wanamdhihaki?