YouVersion Logo
Search Icon

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaSample

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

DAY 8 OF 12

Yesu Anafundisha Juu ya Kuponya Wenye Pepo

Yesu alipoponya mwenye pepo, wafarisayo wanadhani anatumia nguvu za Beelzebul, lakini sio ukweli. Alafu wataalamu wa sheria waitisha Yesu awape ishara.

Swali 1: Sababu gani wanaweza toa watu kwa ajili ya kutoamini Yesu hata baada Yesu amewapa ishara?

Swali 2: Unafikiria kanisa unayohudhuria inaamini nini kuhusu uwezo wa Yesu wa uponyaji?

Swali 3: Ni utofauti gani nguvu za Yesu inaleta katika maisha yako ya kila siku ya kupambana na uovu?