YouVersion Logo
Search Icon

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaSample

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

DAY 5 OF 12

Wawili Wenye Pepo Waponywa

Yesu akemea mapepo chafu kutoka kwa watu wawili na kuyaamuru yaende kwenye kundi la ngurue.

Swali 1: Nini mwenye pepo chafu?

Swali 2: Kwa nini unafiriki watu wengine wanataka Yesu kuachana nao?

Swali 3: Pepo wanamtambua Yesu kama “Mwana wa Mungu aliye juu” Je, katika utamaduni yako watu wanamtambua Yesu kama nani?