YouVersion Logo
Search Icon

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaSample

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

DAY 6 OF 12

Msichana Afufuliwa Na Mwanamke Aponywa

Yesu afufua binti wa Jairo, na mwanamke aliyemgusa Yesu aponywa kwasababu ya imani yake.

Swali 1: Umeshawahi sikia mtu akikutangazia kifo cha mtu mpendwa? Elezea jinsi ilivyo tendeka na vile ulivyohisi.

Swali 2: Ni hatari gani ingempata Yairo kwa kumuendea Yesu? I naku/ingekugharimu nini kuwa mfuasi wa Yesu na kuomba msaada wake katika maisha yako?

Swali 3: Tunaweza kuwasaidiaje watu ambao hawana matumaini kama Yairo na mwanamke aliyetokwa na damu ili waweze kumtafuta Yesu kama jibu kwa hali zao?

Scripture