YouVersion Logo
Search Icon

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na HurumaSample

Uponyaji wa Yesu: Kuchunguza Nguvu na Huruma

DAY 12 OF 12

Maskini Kipofu Kaponywa

Kipofu kamlilia Yesu amhurumie, na Yesu kamponya.

Swali 1: Tunaweza kuwaonyeshaje fikira kwa vitendo wasiojiweza wazee, watoto, wageni, walio wachache, nk?

Swali 2: Ikiwa Yesu angeuliza, “Unataka nikufanyie nini?” Jibu lako lingekuwa nini?

Swali 3: Imani ya mwombaji kipofu ilimshawishi kwamba Yesu angemreshea macho yake. Imani yako ikoje wakati unakabiliwa na hali ngumu?

Scripture