Soma Biblia Kila Siku 11/2024Sample

Suala la mshahara kwa mfuasi wa Yesu linaendelea kuwababaisha wanafunzi. Hasa ahadi ya Yesu kwamba watatawala naye katika ufalme wake. Nani ataonekana kuwa mkuu kati yao siku ile? Nani atakaa karibu zaidi na Yesu? Wana wa Zabedayo, yaani Yakobo na Yohana, walisaidiwa na mama yao. Lakini Yesu anakataa kabisa mawazo hayo. Nafasi ya kuwa mitume walipewa kwa neema. Wasiwe wanatumia nafasi hiyo kwa ajili ya kufikiria mambo ya cheo, bali watumie nguvu zao na mawazo yao kwa lengo la kuwatumikia wengine!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 11/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Kumi na moja pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

God's Book: An Honest Look at the Bible's Toughest Topics

30 Powerful Prayers for Your Child Every Day This School Year

You Say You Believe, but Do You Obey?

Rebuilt Faith

24 Days to Reflect on God's Heart for Redemption

Game Changers: Devotions for Families Who Play Different (Age 8-12)

Awakening Faith: Hope From the Global Church

Protocols, Postures and Power of Thanksgiving

Sharing Your Faith in the Workplace
