Soma Biblia Kila Siku 11/2024Sample

Siku hizi tunasikia misukosuko mingi, na inatutishia usalama. Mwandishi wa zaburi hii anatukumbusha kuwa mambo hayo yalikuwepo tangu huko nyuma. Anaonyesha kuwa Mungu alianza kuwapigania watu wake tangu mwanzo kabisa wakiwa utumwani Misri. Aliwabariki wazee wetu, kwani walikuwa ni uzao wa Ibrahimu ambaye Mungu aliahidi kumbariki. Kwa hiyo tunapoona ulimwengu mzima ukiwa unatikiswa na vurugu nyingi, bado tuna imani kwamba huyo Mungu aliyewapigania wazee wetu, anaweza kutusaidia hata sisi.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 11/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Kumi na moja pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Seasons of Hardship: Live the Jesus Way

UNPACK This...Being a Good Teammate in Life

Am I Really a Christian?

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

Who Am I, Really? Discovering the You God Had in Mind

Overcoming the Trap of Self-Pity

16 Characteristics of the God-Kind of Love - 1 Corinthians 13:4-8

Don’t Know What You’re Doing After Graduation? Good.

Living Like Jesus in a Broken World
