YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 11/2024Sample

Soma Biblia Kila Siku 11/2024

DAY 15 OF 30

Tunapotenda dhambi, mara nyingi tunakosa raha na kuwa katika mahangaiko makubwa. Tunaanza kufikiri kwamba watu hawatupendi na Mungu akatuacha. Hii ndiyo picha tunayoiona katika zaburi hii ambayo inasadikika iliandikwa na mfalme Daudi mara baada ya kutenda dhambi. Daudi anonekana yupo katika mahangaiko kwa dhambi alizotenda mwenyewe. Je, anachukua hatua gani? Daudi anakumbuka kutubu na kuungama dhambi zake. Ndivyo itupasavyo hata sisi –kutubu.

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 11/2024

Soma Biblia Kila Siku 11/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Kumi na moja pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu

More