Soma Biblia Kila Siku 11/2024Sample

Wanafunzi wa Yesu wanafanana na watumishi wa kanisa la leo. Walifikiria sana mambo ya vyeo. Kwa fundisho lake, Yesu anayakanusha mawazo yao. Katika ufalme wa Mungu mambo ni tofauti kabisa. Wakitawaliwa na mawazo kama hayo hawataingia kabisa Mbinguni. Mtoto ana hali ya kuwategemea wazazi katika kila jambo. Sisi tunaitwa kujinyenyekeza na kumtegemea Mungu peke yake! Bila kupokea wokuvu kama zawadi ya neema hatutaingia Mbinguni. Je, cheo kitatusaidia nini tukikosa uzima wa milele? Yesu anasema:Msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni(Lk 10:20).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 11/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Kumi na moja pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

God's Book: An Honest Look at the Bible's Toughest Topics

30 Powerful Prayers for Your Child Every Day This School Year

You Say You Believe, but Do You Obey?

Rebuilt Faith

24 Days to Reflect on God's Heart for Redemption

Game Changers: Devotions for Families Who Play Different (Age 8-12)

Awakening Faith: Hope From the Global Church

Protocols, Postures and Power of Thanksgiving

Sharing Your Faith in the Workplace
