Soma Biblia Kila Siku 06/2024Sample

Kuwa na imani kwa Mungu huleta baraka katika maisha yetu. Mjane mwenye imani na utii alikuwa na shida ya deni la mumewe marehemu. Sasa alitakiwa kuwatoa wanawe kuwa malipo kwa deni hilo. Hivyo asingekuwa na njia ya kujipatia riziki. Muujiza wa chupa ya mafuta uliihifadhi familia hiyo. Habari hii itukumbushe sisi sote kuendelea kumtumaini Bwana, kwani anaweza kutupa mahitaji yetu. Itukumbushe pia kuona matatizo yanayowakabili wajane na kuwasaidia mahitaji yao. Hivyo tunaweza kuwa mkono wa Mungu.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Who Am I, Really? Discovering the You God Had in Mind

Overcoming the Trap of Self-Pity

Am I Really a Christian?

Drive Time Devotions - Philippians

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

16 Characteristics of the God-Kind of Love - 1 Corinthians 13:4-8

Faith @ Work

Reimagine Influence Through the Life of Lydia

Faith in Trials!
