Soma Biblia Kila Siku 06/2024Sample

Ukarimu una baraka zake.Msisahau kufadhili wageni, maana wengine wamewakaribisha malaika wa Mungu pasipo kujua(Ebr 13:2). Mtu na mkewe katika Shunemu walionyesha ukarimu kwa Elisha, nabii wa Mungu, kila alipopita njia ile katika safari zake. Hata walimwandalia chumba. Elisha alipotaka awafanyie kitu kuwaonyesha shukrani, alijulishwa shida yao kubwa: Walikosa mtoto. Ni furaha kuwa na mtoto au watoto katika ndoa, na huzuni kubwa kwa wanandoa ikiwa hawana. Tuwakumbuke katika maombi yetu.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Who Am I, Really? Discovering the You God Had in Mind

Overcoming the Trap of Self-Pity

Am I Really a Christian?

Drive Time Devotions - Philippians

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

16 Characteristics of the God-Kind of Love - 1 Corinthians 13:4-8

Faith @ Work

Reimagine Influence Through the Life of Lydia

Faith in Trials!
