YouVersion Logo
Search Icon

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu UfalmeSample

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu Ufalme

DAY 9 OF 9

Mfano wa Bikira Kumi

Yesu ahadithia wanafunzi wake akiwapa moyo wawe tayari kwasababu haijulikani ile siku atarudi.

Swali 1: Tunahitaji kufanya nini ili kuwa tayari kwa bwana arusi?

Swali 2: Ungependa kufanya nini ili ile siku ikifika utakuwa tayari bwana arusi akija?

Swali 3: Kama ungelikuwa na ufahamu kuhusu ukweli wa kurejea kwa Yesu na kuamini itakuwa hivi karibuni, je ungeliorodhesha aje matendo yako?