YouVersion Logo
Search Icon

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu UfalmeSample

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu Ufalme

DAY 1 OF 9

Mfano wa Nguo Mpya na Viriba

Yesu asema hadithi kuelezea wakati utakayofaa kwa wanafunzi wake kufunga.

Swali 1: Ni kwa njia gani, maisha yako kama mfuazi wa Yesu, ni "mapya na koboreshwa" tofauti na maisha yako ya zamani?

Swali 2: Tunaweza kulinganishaje maisha ya kusherehekea kwa furaha pamoja na Yesu na kujitolea vikamilifu kupinga uovu na dhambi?

Swali 3: Eleza njia zile Yesu amewahi kuleta sifa nyingi kanisani mwenu, kwa jamaa yako, ama katika maisha yako ya kiroho.