YouVersion Logo
Search Icon

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu UfalmeSample

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu Ufalme

DAY 5 OF 9

Mfano Wa Mchungaji Mwema

Jesu ahadithia juu ya mchungaju. Yesu ndiye mchungaji mwema.

Swali 1: Umuhimu wa kuwa katika kundi lake Yesu ni nini?

Swali 2: Kanisa ambapo linakujumlisha wewe kama kondoo liko aje?

Swali 3: Kwa vile Yesu ni mchungaji mwema, je amekulinda na kukulea aje?

Scripture