Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu UfalmeSample

Magugu, Mbegu ya Haradali, na Chachu
Yesu atoa hadithi kueleza juu ya ufalme wa mbinguni.
Swali 1: Je, Yesu angetambua magugu yapi katika maisha yako ambayo yanaweza kuleta upungufu wa kiroho?
Swali 2: Kutokuvumilia na kutostahimili ya wasioamini vinaweza kudhuru umisheni yetu ya Kikristo kwa njia gani?
Swali 3: Ni wapi katika maisha ya wakristo umewahi kuona “imani ya mbegu ya haradali” (kitu kidogo chenye vishindo) ikifanya kazi?
Scripture
About this Plan

Yesu alitumia hadithi za vitendo na ubunifu kuelezea ufalme wa Mungu. Video fupi inaonyesha mojawapo ya mafundisho ya Yesu kwa kila siku ya mpango wa sehemu tisa.
More
Related Plans

Wisdom for Work From Philippians

Create: 3 Days of Faith Through Art

Unbroken Fellowship With the Father: A Study of Intimacy in John

Out of This World

Uncharted: Ruach, Spirit of God

The Revelation of Jesus

After Your Heart

Blindsided

A Heart After God: Living From the Inside Out
