YouVersion Logo
Search Icon

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu UfalmeSample

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu Ufalme

DAY 2 OF 9

Mifano Ya Ufalme Wa Mbinguni

Yesu atuambia kuwa kule mbinguni ni cha dhamani cha kutafutwa.

Swali 1: Hazina gani utatoa kwa Yesu kamili ndiposa uwe mfuazi wa Yesu muaminifu?

Swali 2: Kwa kulinganisha mtu na mfanyi biashara, ufalme wa Mungu una thamani gani kwako?

Swali 3: Je, marafiki zako, jamaa na kanisa wameonyesha aje kwamba Ufalme wa mbinguni ni tunu inayotafutwa sana?