YouVersion Logo
Search Icon

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu UfalmeSample

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu Ufalme

DAY 6 OF 9

Mfano Wa Msamaria Mwema

Yesu anahadithia juu ya Msamaria kujibu swali la, "Ni nani jirani yangu?"

Swali 1: Ingelikugharimu nini kuishi kama huyu Msamaria?

Swali 2: Jirani yako ni nani? Taja watu rasmi na jinsi utakavyowatendea kama Yesu.

Swali 3: Ni watu gani wenye mahitaji ambao kanisa haliwashughulikii?

Scripture