YouVersion Logo
Search Icon

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu UfalmeSample

Mifano ya Yesu: Maelezo ya Kivitendo kuhusu Ufalme

DAY 3 OF 9

Mfano wa Mpanzi

Yesu ahadithia juu ya mkulima kuonyesha kuwa kuna matokeo tofauti kutokana na kusikiza juu ya ufalme wa mbinguni.

Swali 1: Je, wasiwasi za maisha, utajiri wa maisha, na anasa za maisha, zawezaje zuia watu kukubali neno la Mungu?

Swali 2: Unaweza kufanya nini ili uwe udongo mzuri?

Swali 3: Kwa vile mbegu ni Neno la Mungu na mchanga inamaanisha mioyo na akili za wanadamu, hadithi hii inaonyesha nini kuwa wajibu ya kanisa?