Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023Sample

Mungu hapendi maisha yenye michanganyo. Hata tukifanya kwa kujificha, Mungu anatuona. Yeroboamu na mkewe walimwasi Mungu. Walipouguliwa hawakufikiria kutengeneza na Mungu ila wakataka Mungu awasaidie tu, lakini kwa njia za siri. Hii haikuwasaidia. Mara nyingine wapo Wakristo ambao wanaamua kuishi maisha yaliyo kinyume kabisa na Mungu, hata hivyo, wakipatwa na matatizo, wanataka huduma bila hata kutubu. Jihoji kama tabia hii inaweza kupatikana kwako pia.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/Februari 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Warumi na 1 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu bure
More
Related Plans

Sharing Your Faith in the Workplace

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Everyday Prayers for Christmas

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

The Holy Spirit: God Among Us

The Bible in a Month

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Never Alone
