YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023Sample

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023

DAY 21 OF 28

Siku zote unapokutana na kauli mbili, omba Mungu akupe kuifuata kauli ambayo ina kibali kutoka kwa Mungu, nawe utakuwa salama. Lakini ukiifuata kauli ambayo haina kibali cha Mungu, tegemea maangamizi. Huyu nabii wa Mungu alifuata sauti iliyomdanganya. Kwa hiyo Bwana amempambanisha na simba, simba akamrarua, akamwua (m.26). Ukishaingia kwenye changamoto inayotokana na kudanganywa, hata aliyekudanganya hawezi kukuokoa. Ukubali kuiacha njia yako mbaya, usije ukapate mwisho kama wa huyu nabii au wa mfalme Yeroboamu.

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023

Soma Biblia Kila Siku/Februari 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Warumi na 1 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu bure

More