Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023Sample

Mungu akiagiza jambo analifuatilia pia. Hivyo, ukiweka nadhiri kwa Mungu ni vizuri ukiitimiza. Pia jifunze kuisikiliza na kuitofautisha sauti ya Mungu na sauti zidanganyazo. Kwa mfano, mara nyingi ukifunga kwa maombi, utasikia sauti zinakushauri ule kidogo kwa siri. Hiyo siyo sauti ya Mungu. Mkristo, unapopewa rushwa utasikia sauti inasema hii ni shukrani tuu. Unafikiri hiyo ni sauti ya Mungu? Usidanganywe na roho hizo! Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani (1Tim. 4:1). Ulizingatie onyo hili ili usidanganyike.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/Februari 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Warumi na 1 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu bure
More
Related Plans

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

Sharing Your Faith in the Workplace

The Bible in a Month

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Never Alone

You Say You Believe, but Do You Obey?

The Holy Spirit: God Among Us
