Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023Sample

Somo la leo linatufundisha mambo mawili: Kwanza, tukitumwa na Mungu tuseme bila hofu alivyotuambia kusema, maana Mungu mwenyewe anatenda pamoja na sisi. Ndiyo maana mtu wa Mungu alipoilaani madhabahu ya Betheli alibaki salama. Fundisho la pili ni kwamba, usijaribu kupingana na nguvu za Mungu. Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu (Ebr 4:12). Yeroboamu alipotumia madaraka yake kumkamata nabii, mkono wake ukakauaka. Mungu atusaidie kumtii Mungu kuliko hisia zetu.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/Februari 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Warumi na 1 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu bure
More
Related Plans

Sharing Your Faith in the Workplace

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Everyday Prayers for Christmas

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

The Holy Spirit: God Among Us

The Bible in a Month

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Never Alone
