Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023Sample

Kwa lengo la kuendelea kushika mamlaka, Yeroboamu aliamua kuanzisha ibada ya miungu. Ni rahisi kumlaumu Yeroboamu kwa kuwa kwazo kwa watu wake na kuwapotosha. Lakini tusisahau kujiuliza sisi wenyewe, ni mara ngapi tumekuwa kwazo kwa watu kuendelea kumpemda na kumwabudu Mungu katika Yesu Kristo? Mkristo, unapokuwa mwongo, au unaposhawishi kutoa au kupokea rushwa, au unapowazuia watoto wasiende kanisani, unakuwa sawa na Yeroboamu, maana unakuwa unazuia ibada za kweli mioyoni mwa wengine.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/Februari 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Warumi na 1 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu bure
More
Related Plans

Sharing Your Faith in the Workplace

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Everyday Prayers for Christmas

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

The Holy Spirit: God Among Us

The Bible in a Month

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Never Alone
