Soma Biblia Kila Siku Juni 2021Sample

Mungu tangu mwanzo alitaka mume na mke wawe kitu kimoja katika ndoa wakisaidiana na kupendana. Wana umoja wa pekee sana: Si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe (m.8-9). Talaka inaweza kufanyika tu kwa matatizo kama shauri la mwisho kabisa kutokana na ugumu wa mioyo au uasherati! Ila kuhusu uwezekano wa kuoa tena, neno la Yesu katika m.11-12 ni wazi, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake; na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini. Na amri ya Mungu yasema, Usizini (Kut 20:14). Mtu akioa tena baada ya talaka huzini, maana huondoa uwezekano wa kupatana tena na mwenzake. Ndoa ya pili haina kibali kwa Mungu! Isibarikiwe!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Juni 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Marko na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Everyday Prayers for Christmas

The Holy Spirit: God Among Us

Sharing Your Faith in the Workplace

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Reimagine Influence Through the Life of Lydia

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

Never Alone

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

The Bible in a Month
