Soma Biblia Kila Siku Juni 2021Sample

Hili ni neno la kuzingatia kwako uliyejitoa kuwa mhudumu wa neno katika kanisa, k.m. mwinjilisti, mchungaji au mwalimu wa watoto. Huenda ungependa kumwuliza Yesu swali kama Petro: Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata wewe; tutapata nini basi (Mt 19:27)? Yesu hakatai swali hili. Ikiwa msukumo wa huduma yetu kweli ni Yesu na Injili yake (m.29b), kweli kuna mambo tutakayopata: Atapewa mara mia sasa wakati huu, nyumba, na ndugu waume, na ndugu wake, na mama, na watoto, na mashamba, pamoja na udhia; na katika ulimwengu ujao uzima wa milele (m.30). Yesu anatoa ahadi tatu hapo: 1. Familia mpya katika Yesu. 2. Udhia. 3. Uzima wa milele. Mbili zahusu maisha haya.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Juni 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha Marko na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Everyday Prayers for Christmas

The Holy Spirit: God Among Us

Sharing Your Faith in the Workplace

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Reimagine Influence Through the Life of Lydia

Positive and Encouraging Thoughts for Women: A 5-Day Devotional From K-LOVE

Never Alone

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

The Bible in a Month
