Soma Biblia Kila Siku/ FEBRUARI 2023Sample

Kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote ni jambo la kumshukuru Mungu. Kwa sababu katika uongozi wako Mungu anakuweka ili kukutumia kuongoza watu wake. Kiongozi, tambua kuwa siyo kila wakati utapitishwa katika njia rahisi. Adoramu alikuwa mwaminifu kwa mfalme, na hivyo hasira ya watu juu ya mfalme ilimwangukia. Rehoboamu akampeleka Adoramu, aliyekuwa juu ya shokoa, nao Israeli wote wakampiga kwa mawe hata akafa. Mfalme Rehoboamu akafanya haraka kupanda katika gari, ili akimbilie Yerusalemu (m.18). Mara nyingine Mungu anaweza kukupitisha katika njia ngumu ili atimize kusudi lake. La msingi hapa ni kujifunza kuitambua sauti ya Mungu, kuitii na kuifuata kwa uaminifu wote.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku/Februari 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo machache ya kukusaidia kuelewa zaidi neno ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Warumi na 1 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu bure
More
Related Plans

Sharing Your Faith in the Workplace

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Everyday Prayers for Christmas

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

The Holy Spirit: God Among Us

The Bible in a Month

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Never Alone
