Soma Biblia Kila Siku 11/2024Sample

Yesu anatufundisha juu ya ndoa. Je, tutakubali kufuata neno lake? Daima ni baraka kwetu kulitii neno lake la ukweli. Wanafunzi waliguswa, wakawa na hofu. Maana wakati ule Wayahudi walijiona kuwa na uhuru sana katika masuala ya ndoa. Je, hata Watanzania wanajiona hivyo? Yesu anamikazo mitatu:1.Kufunga ndoa ni jambo jema lenye baraka. Ni mapenzi ya Mungu.2.Uaminifu mpaka kufa ni msingi wa ndoa.3.Kufunga ndoa zaidi ya mara moja haina kibali mbele ya Mungu. Kwa hiyo haiwezi kubarikiwa kanisani.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 11/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Kumi na moja pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Sundays at the Track

Jesus Is Our "Light of the World"

Anchored: The Life and Letters of the Apostle Peter

Christosis: Participation in Christ and Imitation of Christ

Move People Through God Alone

Parables of Grace: Embrace God’s Love for You

Love People?!

Made for More

Live Your OWN Life With Conviction
