Soma Biblia Kila Siku Julai 2023Sample

Pigo la sita ni majivu yanayogeuka kuwa majipu kwa watu na wanyama wote. Wachawi wa Misri walishindwa kufanya kitu chochote, kwani nao walikuwa wagonjwa. Cha kushangaza ni kwamba Mungu ndiyeakaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu, asiwasikize(m.12). Sababu inapatikana katika 7:14,Bwana akamwambia Musa, Moyo wa Farao ni mzito, anakataa kuwapa watu ruhusa waende zao(7:14; ling. 8:32,Farao akaufanya moyo wake kuwa mzito mara hiyo nayo, wala hakuwapa ruhusa hao watu waende zao). La kujifunza hapa ni kwamba mtu akimkataa Mungu kama alivyofanya Farao, neno la Mungu halitaulainisha moyo wake bali kuufanya mgumu zaidi. Hivyo matokeo yote yataudhihirisha utukufu wa Mungu kama anavyotaka yeye. Tusione mashaka juu ya utendaji wa Mungu.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Julai 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Kutoka na Amosi Karibu kujiunga na mpango huu.
More
Related Plans

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

Never Alone

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Everyday Prayers for Christmas

The Holy Spirit: God Among Us

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Sharing Your Faith in the Workplace
