Soma Biblia Kila Siku Julai 2023Sample

Somo linaonyesha jinsi Mungu alivyoufanya moyo wa Farao kuwa mgumu ili kuzionyesha nguvu zake na watu wa vizazi vyote wajue kwamba BWANA ndiye Mungu. Musa alitumwa kumwambia Farao kuwa anyenyekee na kuwaruhusu watu waondoke, vinginevyo Wamisri wataletewa nzige kuiharibu nchi. Lakini Farao alitaka waondoke watu wazima tu! Hili lilifanya nzige waile nchi mpaka Farao akakiri amefanya dhambi. Ila toba yake haikuwa na kina, maana pamoja na kuomba msamaha, Farao alizidi kuufanya moyo kuwa mgumu.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Julai 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Kutoka na Amosi Karibu kujiunga na mpango huu.
More
Related Plans

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

Never Alone

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Everyday Prayers for Christmas

The Holy Spirit: God Among Us

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Sharing Your Faith in the Workplace
