Soma Biblia Kila Siku Julai 2023Sample

Mvua ilikuwa kali kiasi cha kumfanya Farao aone kwamba yeye na watu wake ni waovu, na BWANA ni mwenye haki. Alimwahidi Musa atatoa ruhusa, kama Musa atamwomba Mungu mvua isiendelee. Lakini Musa alipokubali, na Farao pamoja na watumishi wake walipoona jinsi mvua ilivyokoma, walizidi kushupaza moyo. Waliendelea kumwasi Mungu. Mungu anatupa maonyo kila mara, na anatupa nafasi ya kumrudia. Kama tukiishupaza mioyo yetu, tunaongezea dhambi juu ya dhambi. Tunatakiwa kumgeukia Mungu kwa toba ya kweli.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Julai 2023 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kuelewa somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Kutoka na Amosi Karibu kujiunga na mpango huu.
More
Related Plans

Gospel-Based Conversations to Have With Your Preteen

Never Alone

Simon Peter's Journey: 'Grace in Failure' (Part 1)

Two-Year Chronological Bible Reading Plan (First Year-January)

When You Feel Like Roommates: 4 Day Plan to Help You Love (And Like) Your Spouse for Life

Everyday Prayers for Christmas

The Holy Spirit: God Among Us

Biblical Wisdom for Making Life’s Decisions

Sharing Your Faith in the Workplace
