Soma Biblia Kila Siku Juni/2022Sample

Wakristo wamefungamanishwa katika umoja wa Roho Mtakatifu, ambaye huwawezesha kuombeana, kutiana moyo, kusaidiana, huku wakikubaliana katika mambo yote, kwa kuhurumiana na kutumikiana. Wakidumu hivyo, kwa nguvu na uweza wa Roho akaaye ndani yao, wanaepushwa na ubinafsi, na wanavikwa kunyenyekeana na kubebeana mizigo kama Kristo alivyofanya, akafanyika mfano kwao. Kwa hiyo tumtazame Kristo, mwenye kuanzisha na mwenye kutimiza imani yetu, tukitaka kuishi tunavyoonywa na somo la leo.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku Juni/2022 ni mpango wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku kwa mwezi wa Juni pamoja na maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa kwa urahisi na kuendelea kutafakari neno la Mungu ulilosoma kwa siku husika. Katika mpango huu utasoma zaidi katika kitabu cha Wafilipi na Mwanzo. Karibu kujiunga na mpango huu na usome bure
More
Related Plans

Every Thought Captive

The Origin of Our Story

As He Purposeth in His Heart by Vance K. Jackson

Seasons of Hardship: Live the Jesus Way

Don’t Know What You’re Doing After Graduation? Good.

3 - LORD'S PRAYER - the Lord´s Requirements

Philippians - Life in Jesus

UNPACK This...Being a Good Teammate in Life

The Rapture of the Church
