Soma Biblia Kila Siku 6Sample

Naamini kwamba baada ya kusoma maneno haya umepata jibu la swali la jana! Jambo lililoonekana kama ushindi wa Shetani, kumbe! Lilikuwa ni mpango wa Mungu wa ajabu. Na sisi tujifunze kutokana na tukio hili. Tujifunze kufanya kama neno la Waefeso 5:20 linavyosema: Mshukuruni Mungu Baba sikuzote kwa mambo yote, katika jina lake Bwana wetu Yesu Kristo.Ndivyo walivyofanya Paulo na Sila siku ile. Matokeo yake ni kwamba mtu mmoja na nyumba yake yote waliokoka! Tukimtegemea yeye atayageuza mabaya kuwa mema. Twajua ya kuwa katika mambo yote Mungu hufanya kazi pamoja na wale wampendao katika kuwapatia mema, yaani, wale walioitwa kwa kusudi lake.(Rum 8:28).
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 6 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia sehemu kwa sehemu kila siku pamoja na maelezo yatakayokusaidia kutafakari na kuelewa Neno la Mungu kwa urahisi.
More
Related Plans

Lead Through Prayer

Peace on Earth: A 5-Day Advent Devotional

Transformational Days of Courage for Women

The Book of Psalms (30-Day Journey)

Unapologetically Sold Out: 7 Days of Prayers for Millennials to Live Whole-Heartedly Committed to Jesus Christ

God Says I Am: Embracing Peace & Walking in Power

When You’re Desperate: 21 Days of Honest Prayer

Lost Kings | Steward Like a King

Come Holy Spirit
