Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 15 YA 31

Paulo anashuhudia juu ya gharama ya kuwa mjumbe wa Mungu. Ni kwa ajili ya Kristo, anaikubali (m.10, Sisi tu wapumbavu kwa ajili ya Kristo). Wakristo wa Korintho waligawanyika katika makundi kufuata majina ya waliowapelekea Injili. Kila kundi lilijiona kuwa bora kiroho kuliko lingine. Tujivunie ubora wa watumishi. Viongozi ni baraka. Lakini wasiwe kiini cha mafarakano na kugawa Wakristo. Ujumbe unaookoa hautoki kwa viongozi bali kwa Kristo. Hakuna mhubiri wa thamani kuliko anayetangazwa ambaye ni Kristo.

siku 14siku 16

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha