Programu ya Biblia ni bure kabisa, haina matangazo na hakuna ununuzi wa ndani ya programu. Pata programu
Roho Mtakatifu - Tuna Uwezo Wa Kuwaka Moto Au La?

7 Siku
Sample Day 1Kuna nguvu ya kipekee, nguvu inayofufusha ndani yako. Mwinjilisti Reinhard Bonnke amekutolea maandishi ya nguvu kuhusu Roho Mtakatifu na Kanuni za Nguvu zake Roho Mtakatifu. Funzo hili la siku saba litapinga mawazo au fikra zako kuhusu Roho Mtakatifu na
Tungependa kumshukuru CfaN Christ Kwa Mataifa Yote kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://cfan.org/?office=za&language=en