Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 16 YA 31

Kiongozi wa kweli ana wivu juu ya anaowaongoza. Anawapenda. Hawaombei mabaya. Anawarudisha katika kweli ili wasipotee. Kiongozi mwema ni kiungo cha upendo na umoja unaojengwa katika kweli na upendo wa Mungu. Anakuwa kielelezo. Ni mfano wa kuigwa. Je, unao ujasiri wa kuwafanya watu wakuige wewe kama wewe unavyomfuata Kristo? Maneno mazuri hayaimarishi wayasikiao wasipoona ushuhuda wa matendo ya Kristo. Uwe na uchungu wa kuwaunganisha katika Injili wale wanaopotoshwa.

siku 15siku 17

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha