Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Soma Neno la Mungu ukitumia App ya Biblia

Chukua Neno la Mungu popote unapoenda kwa kupakua App ya Biblia bila malipo. Sikiliza Biblia za sauti, unda Maombi, soma na Marafiki, na mengine mengi—yote bila malipo. Chagua kutoka zaidi ya matoleo 2,400 ya Biblia katika lugha zaidi ya 1,600 kwenye kompyuta, simu au kompyuta yako kibao.

Pakua App ya Biblia Sasa

100% BURE. HAKUNA MATANGAZO AU UNUNUZI KABISA.

googleiosamazon
Pakua ProgramuPakua Programu

Tambaza Msimbo wa QR ukitumia kifaa chako cha mkononi ili kupakua App ya Biblia.

Kipengele cha Simu
googleappamazon

Ungana na Neno la Mungu kila siku.

Jiunge na jumuiya ya kimataifa yenye zaidi ya watu milioni 500:

Nina Neno kila wakati.

Nimealamisha vifungu ambavyo ni muhimu kwangu. Nimesoma jambo lote kwa mwaka kutokana na mipango ya kusoma.

Inapendekezwa sana

Ninapenda jinsi unavyoweza kuungana na marafiki na mipango ya kusoma Biblia ni nzuri. Programu hii hunisaidia pia kukaa thabiti katika kusoma kwa sababu ina vikumbusho vya mipango. Pia inanipa njia nyingine ya kumkaribia Mungu. Pakua hii na usome kila siku!

App ya ajabu.

Programu nzuri yenye uchaguzi mpana wa Biblia za kuchagua. ... Biblia za sauti pia ni nzuri na rahisi kueleweka.

Safi. Marazote inaboreshwa!

Tafsiri na lugha nyingi zinapatikana, na nyingi zinazoweza kupakuliwa ili kusomwa nje ya mtandao. Vipengele vingi muhimu, kama vile uwezo wa kuandika madokezo na vialamisho.

Programu bora ya Biblia!

Ninapenda jinsi ina matoleo mengi na kwamba kuna aya za siku, ibada, mipango na jumuiya. Asante kwa programu hii ya bure. :)

Matoleo mengi na usomaji wa nje ya mtandao!

Ni vizuri kwa sababu kuna matoleo mengi tofauti na ningeweza kupakua matoleo mengi kwa usomaji wa nje ya mtandao. Ninaweza kusikiliza programu hii.

Programu nzuri!

Hunisaidia kusoma Biblia zaidi. Napenda makala za utafutaji na ushirikishaji na njia mbalimbali za kushirikisha. Pia napenda matoleo ya sauti.

Programu nzuri

Hiki ni chombo kizuri kwa ajili ya kusoma kutoka katika tafsiri nyingi. Pia ni rahisi kwa kusikiliza Biblia wakati wa kuendesha.

Programu bora ya Biblia!

Hii ndiyo programu bora zaidi ya Biblia huko nje. Ina neno katika lugha na matoleo tofauti kwa matumizi ya mtandaoni na nje ya mtandao. Ina ibada kwa kila kitu unachoweza kufikiria. Unaweza kuungana na wengine na hatimaye kujifunza kuhusu Mungu na Neno lake.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha