Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 14 YA 31

Watumishi wa Kristo ni mawakili ambao amewaaminisha siri zake. Wakili anafanya yale ambayo ameamriwa na Bwana katika Biblia akiongozwa na Roho Mtakatifu. Siye chanzo cha migogoro na migawanyiko kama akijifunza kutokupita yale yaliyoandikwa. Kila siku anapata mahitaji na changamoto za kutenda atakavyo yeye. Tunajaribiwa kuhukumu wengine. Mungu pekee ndiye mwamuzi wa kweli, asiyependelea. Tuwasaidie wenye dhambi ili waokolewe. Wakiokolewa, wamwekee Mungu tumaini na sifa na si viongozi wao.

siku 13siku 15

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha