Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 18 YA 31

Dhambi ipo! Ni lazima ikemewe kwa nguvu zote. Isipokemewa na kuondolewa inadhoofisha ushuhuda na Neno la Mungu. Kukemea si kulipa kisasi, bali ni kuponya. Ni kurudisha wapotevu katika kundi la Kristo. Uzinzi wa aina zote hauvumiliki katika Injili. Mdhambi anapoachwa kama ilivyoelezwa katika m.4-5, inalenga kumwezesha kutubu (Katika jina la Bwana wetu Yesu, ninyi mkiwa mmekusanyika pamoja na roho yangu, pamoja na uweza wa Bwana wetu Yesu;kumtolea Shetani mtu huyo, ili mwili uadhibiwe, ili na roho iokolewe katika siku ya Bwana Yesu). Lakini wengine wakiachwa bila kuonywa hupotea kabisa. Ikemee dhambi bila huruma. Tumia upendo katika kuwarudisha waliopotea.

siku 17siku 19

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha