Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021Mfano

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

SIKU 19 YA 31

Twapaswa kuishinda dhambi (Mwa 4:5-7, Kaini akaghadhibika sana, uso wake ukakunjamana.Bwana akamwambia Kaini, Kwa nini una ghadhabu? Na kwa nini uso wako umekunjamana?Kama ukitenda vyema, hutapata kibali? Usipotenda vyema dhambi iko, inakuotea mlangoni, nayo inakutamani wewe, walakini yapasa uishinde). Kukemea dhambi kuanzie pale ulipo. Wakristo wakifanya dhambi kwa makusudi na hawapendi kutubu, wafukuzwe kanisani. Maana wakibaki, hali hii inaharibu na kuangamiza kanisa na jamii. Shabaha ya Pasaka ni kuiondoa dhambi. Kristo ni Pasaka wetu leo. Jitenge na maovu. Hiyo si kuhama, bali ni kutoshiriki maovu ya mdhambi. Pokea nguvu ya Neno la Kristo ili kusimama imara. Uwakemee na kuwaonya wanaoendeleza nguvu ya dhambi katika eneo lako.

siku 18siku 20

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021

Soma Biblia Kila Siku Januari 2021 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 1 Wakorintho. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kuji...

More

Tungependa kushukuru kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha