Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 21 YA 31

Mahitaji ya mtu kimwili na kiroho ni nini? Uponyaji ulivuta watu wengi kumwendea Yesu (m.2). Ishara ya kuwalisha watu zaidi ya elfu tano kwa mikate mitano na samaki wawili, kisha kubaki vikapu 12, iliwafanya watu wamwone kuwa nabii (m.14). Lakini je, lengo la ishara ni hili tu? Kwamba watu wale na kusaza tu na wamwone Yesu kuwa nabii tu? Hasha! Ishara zitusaidie kumwamini Yesu kuwa ndiye Kristo, Mwana wa Mungu na Mwokozi wetu (Yn 20:30-31). Utoshelevu wa mahitaji ya mtu ni uzima wa milele.

Andiko

siku 20siku 22

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha