Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 20 YA 31

Mtu anaposikia kiu, anatafuta maji ya kunywa. Akinywa hayo maji, yanakuwa sehemu ya mwili wake. Hapo ndipo anapokuwa na afya njema kwa kunywa maji hayo. Mtunzi wa zaburi hii ana hamu kubwa ya kumwona Mungu. Hata amelinganisha hamu yake na kiu ya mnyama wa porini katika nchi ya ukame. Maadui wa huyu mwimba zaburi wanajaribu kumkatisha tamaa, lakini yeye anaamini Mungu atamhifadhi na kumsaidia (m.8-11). Ni heri kila mmoja wetu awe na kiu ya namna hii.

Andiko

siku 19siku 21

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha