Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Maelezo ya mpango

Soma Biblia Kila Siku 1Mfano

Soma Biblia Kila Siku 1

SIKU 24 YA 31

Yaonekana ni maneno muhimu sana kwa Yesu, maana mara mbili anaanza na ”amin, amin” ambayo ni maneno ya kusisitiza. Amin, amin, nawaambieni, Msipoula mwili wake Mwana wa Adamu na kuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu (m.53). Mwana wa Adamu ni Yesu mwenyewe. Bila yeye hatunao uzima ndani yetu. Maana ya kula mwili wake na kunywa damu yake ni kumwamini. Soma m.47! Imani tunaipokea tukilisikia na kulishika neno lake. Siku hizi tunayo njia hii pia ya kushiriki katika Meza ya Bwana.

Andiko

siku 23siku 25

Kuhusu Mpango huu

Soma Biblia Kila Siku 1

Soma Biblia Kila Siku 1 inakupa mpango wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu, hasa kutoka Injili ya Yohana, pamoja na maelezo juu ya somo hilo.

Tungependa kushukuru Soma Biblia kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: http://www.somabiblia.or.tz

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha