Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:9-11

Zaburi 119:9-11 BHN

Kijana atatunzaje maisha yake kuwa safi? Kwa kuyaongoza kadiri ya neno lako. Najitahidi kukutii kwa moyo wote; usiniache nikiuke amri zako. Nimeshika neno lako moyoni mwangu, nisije nikakukosea.

Soma Zaburi 119

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 119:9-11