Zaburi 119:9-11
Zaburi 119:9-11 NENO
Kijana aisafishe njia yake jinsi gani? Ni kwa kutii, akilifuata neno lako. Ninakutafuta kwa moyo wangu wote, usiniache niende mbali na amri zako. Nimelificha neno lako moyoni mwangu ili nisikutende dhambi.