
Craig & Amy Groeschel kuanzia kwa hii siku nakuendelea
Siku 7
Unaeza fanya arusi kubwa. Machaguzi yako ya leo yatamaanisha arusi ambayo utafanya kesho. Mcungaji na New York Times monadic hatimu Craig Groeschel na mke wake, Amy, wana kuonesha dhamira tano yawewe kuepoka kushindwa ndani ya arusi yako: Kutafuta Mungu, Kupiganisha mapambano vizuri, Kua na furaha, kukaa safi, na usikate tamaa. Fanya arusi kama vile ulikua ukifikiria, kuanzia sasa — Kuanza leo na kuendelea.
Mchapishaji
Tulipenda kushukuru Zondervan, HarperCollins, na Life.Church kwa tutupatia mpango huu. Kwa maelezo zaidi, tafadhali tazama: http://www.zondervan.com/from-this-day-forward
Kuhusu Mchapishaji