Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 119:9-11

Zab 119:9-11 SUV

Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. Kwa moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 119:9-11