Zaburi 119:9-11
Zaburi 119:9-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. Kwa moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119Zaburi 119:9-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako. Kwa moyo wangu wote nimekutafuta, Usiniache nipotee mbali na maagizo yako. Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.
Shirikisha
Soma Zaburi 119