Soma Biblia Kila Siku 03/2025Sample

Wakati umetimia, na ufalme wa Mungu umekaribia; tubuni na kuiamini Injili(Mk 1:15).Maneno haya ya Yesu tungeweza kuyaweka kama kichwa juu ya utumishi wa mitume. Ndivyo walivyowahubiria watu, na ndivyo sisi Wakristo wa leo tunavyotakiwa kuwaambia watuwatubu(m.12). Na ili watu watambue kwamba ufalme wa Mungu umekaribia, Yesu akafanya miujiza kwa mikono yao. Hata leo hufanya hivyo. Zingatia:Akawatuma wawili wawili(m.7).Utaratibu huu wa Yesu ni jambo la kutendea kazi kwa viongozi wa kanisa la leo!
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 03/2025 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Marko, 1 Nyakati na Isaya. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Love People?!

Sundays at the Track

Move People Through God Alone

Christosis: Participation in Christ and Imitation of Christ

Live Your OWN Life With Conviction

The Family Business: Living Like Jesus. Loving Like Jesus. Leading Like Jesus.

Made for More

Parables of Grace: Embrace God’s Love for You

Anchored: The Life and Letters of the Apostle Peter
